JUA: NYOTA INAYOTUPA UHAI HUKU IKISUBIRI KUTUSAMBARATISHA

JUA: NYOTA INAYOTUPA UHAI HUKU IKISUBIRI KUTUSAMBARATISHA

Nyota iliyo karibu sana na Dunia, haiko mbali sana, si kwenye galaksi nyingine, bali hapa hapa nyumbani, katikati ya mfumo wetu wa Jua. Adui wetu ndo mlinzi wetu. Hii nyota imekuwa ikifanya kazi ya kusambaza uwezekano wa kuwepo na maisha Duniani kimya kimya kwa zaidi ya miaka milioni 4.5, bila kupumzika hata sekunde moja. Yenyewe inakadiriwa kuwepo kwa miaka billion 4.6 Kwa macho yetu, Jua huonekana kama duara la kawaida la mwanga. Tunaliamkia kila asubuhi, na kuliona likizama jioni nyuma ya milima, kana kwamba ni sehemu ya ratiba ya kawaida ya maisha. Lakini ukweli ni kwamba, kile tunachokiona ni moja

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments