kakataa milioni 30 za Yanga kwenda kutumbuiza kisa yeye ni shabiki wa Simba

kakataa milioni 30 za Yanga kwenda kutumbuiza kisa yeye ni shabiki wa Simba

Kwa jeuri aliongea kwamba kakataa milioni 30 za Yanga kwenda kutumbuiza kisa yeye ni shabiki wa Simba imani yake ilimwambia kwamba hakuna mtu atazuia yeye kutoimba kwenye Simba lakini mambo yamekuwa tofauti Simba wamemfungia vioo. Kwenye hii dunia ukijifanya mfia timu kuna siku utadharirika na kupoteza fursa muhimu, nadhani kwasasa Tunda atakuwa anajiona ni mjinga kiasi gani kwa kukataa pesa ndefu kisa Simba anatakiwa ajifunze kwa wengine. Alikiba ni shabiki wa Yanga lakini ilipokuja pesa ndefu kutoka Simba hakuiacha na anaifanya kazi ya Simba kwa weledi, Mbosso shabiki wa Simba lakini Yanga wameweka pesa mezani akaenda kutumbuiza kwenye tamasha la

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments