WAKILI HUCHOKI JAMANI 🫣* *___________________________________* *SEHEMU YA SITA*

WAKILI HUCHOKI JAMANI 🫣* *___________________________________*  *SEHEMU YA SITA*

Nilianza kupiga kelele kuomba msaada lakini haikusaidia, nilipambana sana, jamaa alifanikiwa jambo lake, alivyomaliza alinitizama hakuongea chochote akawa ameondoka, aisee nilijuta kufungua mlango na kuleta mazoea na watu, nilijichukia nakuapa sitaki mazoea na kiumbe mwenye mkia mbele tena, ilipita miezi miwili nikaanza kuugua nyie kupima mimba, apo nishavunja line, sina namba ya uyo mpuuzi, nilibaki nawaza sina majibu, na biashara yangu ilivyo nilijikuta nalia tu... Jioni yake mama alinipigia simu nimpokee mdogo wangu kafukuzwa na mme wake amepigwa sana, ajihifadhi kwangu kwa muda, nyumbani ni aibu kwenda na ngeo, nilimwambia mama jamani sasa hayo ni maisha gani? Kupigana, akimvunja mkono,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments