KIUTANI NIMEINGIZWA UKUBWANI* *1---2* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Jimmy ni mwanaume wa miaka 38 kutoka nchi ya Marekani

KIUTANI NIMEINGIZWA UKUBWANI* *1---2* *_______________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA* Jimmy ni mwanaume wa miaka 38 kutoka nchi ya Marekani

alikuwa akifanya biashara zake kubwa nchni Tanzanian pia alifungua kampuni kubwa sana. Licha ya kuwa na huo mri Jimmy hakutaka kabisa swala la kuowa yeye alikuwa Bize na biashara zake hata kama alikuwa na mambo yake mengine ilikuwa kwa siri sana hakuwa anapenda skendo za ajabu ajabu. Katika mipango yake ya kutaka kutimiza mambo yake alitakiwa kufunga ndoa yani awe na cheti cha ndoa na wakati huo hakuwa na mpango wa kuwa na mke.. Jioni moja jimmy alikuwa amekaa na rafiki yake Patrick rais wa Tanzania, mfanya biashara mkubwa pia. Jimmy akaamua kumshirikisha swala lake ili aweze kumpa msaada. "Kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments