UDHAIFU WA MR CEO...Chapter 7--8

UDHAIFU WA MR CEO...Chapter 7--8

7 "Wewe mimi siwez kulala na wewe, kwanza nipo period, siwez kufanya mapenzi tena na mwanaume mimi, kama ndio ulikuwa umenitafutia kazi ili unile basi sina shida na kazi yako, nikashangaa anaweka kidole chake kwenye lips zangu na kusema naomba usiongee sana, si unajua mimi siwezi kelele, ila sijasema kuwa nataka kusex nawewe, nimesema naomba kwenda kulala na wewe, au wewe umeelewa tofauti, nakuahidi sitakaa nikufanye kitu chochote kile bila ridhaa yako, nataman tu kulala bila dawa, na nililala kwa mara ya kwanza nikiwa karibu yako, naomba nisaidie kwa hilo... Hapo angalau nikamuelewa, ingawa najua wanaume huwa hawatabiriki, ila nafsi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments