
*____________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Nyie maisha yananipeleka mputa mputa mwenzenu, yani kimuonekano ni kama millionare ila deep down, hadi songesha wananijua, yaani jamani na hapa nimechelewa kwenye interview, nikawaza nina mshikaji wangu mmoja huwa ananielewa sana, ni dereva wa ambulance, sasa hapa🤔 nikapata zangu wazo7 la kumpigia aniwaishe na Ambulance, atafute tu ujanja mpaka aniwaishe na hii jam kwa Ambulance lazima niwahi kufika, kwa jinsi alivyokuwa ananipenda hakuwa na ujanja akaja... Hao tukasepa kama utani vile Ambulance ilitolewa mpaka nilijuta, mtu mwenyewe ata sijazaa nikaacha mayai yangu duniani 😭, kwa hii speed si naenda kuacha mayai yangu kwenye udongo jamani,
0 Comments