
simu ataongea nini, simu iliita mwisho ikakata lakini baada ya muda simu ilianza kuita tena, alibonyeza kitufe cha kupokea akapokea . " Hallow. Suzani alipokea na kuongea kwa sauti ya chini " Suzan... " Abeee " Umenipigia? " Aaa.. nadhani simu ilijipiga. " Sawa, unaendeleaje? " Naendelea vizuri . " Uko wapi? " Nipo nyumbani, sijakuona upo sawa kweli? " Hali yangu sio nzuri naumwa. " Ndio maana sauti yako haipo sawa, unaumwa nini? " Ni homa ya kawaida. " Pole. " Asante. Baada ya hapo kulipiza kimnya kila mmoja alinyamaza kusikiliza mwenzie ataongea nini. " Nataka kukuona. Victor alivunja
0 Comments