
amebana paleee Narshaaa anaamuaa kwendaa upande wa juu sehem iliyojifichaa na kumpigiaa simu mtu flani ili afikee na kinachoshangaaza anayefikaa ni Madam Lindaa. "Ivii Jordan anaujasirii gani wa kukupigaa kofi wewe kisaa mpuuzi wakee Saraah "Madam Lindaa Alisemaa huku akiwa na sura iliyo ya hasiraa. "Hahahahh sijui anawazaa nn Ikn asijali ntalipizaa dharau hii maraa kumii yakee Na piaa Jordan Asahau kbsa kama mm ntaachaa kumpendaa ntampenda na kumuachanishaa na Saraaaah Lindaa Usijall check Game lilivyo hahhaha Mimi Ndo Narshaa The Only Living Killer" Narshaa alisemaa huku akitoaa tabasamuu na kicheko cha dharauu sanaa. Wawili hawaa wanaondokaa. Mdaa unakwendaa sanaa,
0 Comments