MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI??* *11 *___________* *SEHEMU YA 11* Ilibidi namimi nijikip bize ili mzee asigundue chochote...

MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI??* *11 *___________*  *SEHEMU YA 11*  Ilibidi namimi nijikip bize ili mzee asigundue chochote...

Kilichokuwa kinaendelea kule ndani kuna muda nilikuwa najihisi ni kama ninaota🙌🙌.. Nilijifanya kama ndo namalizia kudeki mzee ikabidi agande pale mlangoni na Kingston kwa muda huo alikuwa amejilaza tu kwenye sofa pale chumbani... Nilimaliza kukiweka vizuri kitanda chake nikafuta futa pale chini nikatoka na kusema kweli kichwa kilikuwa kinauma kwa maswali🥺🥺 Mzee alikwenda akamhudumia Kingston kumuosha na kumbadilishia nguo baada ya hapo alimlisha na kumuacha apumzike.. Nilitamani nipate mtu nimwelezee hali halisi ya kule ndani lakini naanzaje...nilishindwa.. Nilibaki na hiyo ishu kichwani kama siri yangu.. Nilitarajia lbda Kingston atanifuata kuniomba nisiseme chochote kuhusu kitu nilichokiona chumbani kwake cha ajabu hakushugulika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments