"❤❤ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya Saba. πŸ‘‰ Mama hawa...πŸ‘‡ Unavuka mipaka unaniletea mwanaume nyumbani kwangu.

"❤❤ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya Saba.  πŸ‘‰ Mama hawa...πŸ‘‡  Unavuka mipaka unaniletea mwanaume nyumbani kwangu.

" Koma wewe uyu ni mzazi mwenzangu kaja kumwangalia mwanawe na umemkuta chumbani si yupo hapa sebuleni wewe ulivyonioa ujaniona na mtoto sasa uyo mtoto nilijiweka mwenyewe. ( Hawa akaingia ndani akaona kinawaka sasa ivi...ila Rama akuongeza neno akaingia chumbani...sasa kitendo cha Rama kuingia chumbani uku baba hawa alitoka mbio akajua kaenda kuchukua siraha...cha ajabu na mkewe Rama kakimbia yani wametoka wote....Rama anatoka ndani ajabeba chochote akamwita hawa) " Hawa. " Abee baba. " Mimi naondoka funga mlango usiache mlango wazi. " Sawa baba. " Ila uyu mama yako kuna kitu ananitafuta si unaona wamekimbia waache tu. " Baba usije

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments