MREMBO YATIMA. NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 40* Nilirudi Tanzania nikiwa na huzuni nyingi lakini ndo hivo maisha lazima yaendeleee 😒😒😒...

MREMBO YATIMA. NA KIJANA TAJIRI *SEHEMU YA 40*  Nilirudi Tanzania nikiwa na huzuni nyingi lakini ndo hivo maisha lazima yaendeleee 😒😒😒...

Nilituliza akili zangu nikarudi chuoni kipindi hiko ndo nilikuwa mwaka wa tatu chuoni katika stage ya Degree.. Nilikuwa naendelea na masomo yangu huku naendelea na Driving course...kwenye kudrive hata sikuchelewa kujua😂 Ndani ya week mbili niliweza kuondosha gari😂😂😂viuoga kutetemeka kwenye usukani ndo vitu mwalimu alibaki kushughulikia🤗🤗 Na kunifundisha kuhusu alama za barabarani...that time maisha yalikuwa mazuri kiasi coz Romy alikuwa anasimamia kila kitu.. Na alikuwa ananilipa Girl friend allowance🥰🥰🥰..basi bwana maisha yalizidi kusonga mwezi ukapita and guess wat sikuingia period.. Nilichanganyikiwa 🙌🙌 kabla ya kwenda kupima nikamshirikisha Romy nikamwambia mi huku sizioni siku zangu.. Aliniambia nipime then nimpe majibu😴😴😴nilikwenda hospital

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments