
kuitwa. "Hii ofisi mmeifanyia usafi nayo?" "Ndio tayari" "Hapo sawa unaweza kwenda!" Aligeuka na kuondoka na kijana alibaki akijilaumu kwanini kashindwa kumuomba mzigo Pendo. Kwakuwa mda wa kuondoka ulikuwa bado kwa Pendo licha ya kumaliza kazi yake alitafta sehemu tulivu na kukaa zake na haukupita mda alifatwa na mfanyausafi mwenzake. "Boss anakuita!" "Yupo wapi?" "Ofisini!" Pendo alienda mpaka ofisini na kumkuta akiongea na simu. "Subiri nitakurudia baadaye!" Alikata simu na kumtazama Pendo. Boss alikuwa na maana yake mpaka kuamua kumpatia kazi na sababu kubwa ni minya..nduo tu!. Jicho lake lilitua kwenye sura ya bibie na Pendo kwa aibu aliangalia pembeni.
0 Comments