NYUMA NA MBELE

NYUMA NA MBELE

MTUNZI : GEOFREY MALWA Hii hadithi itakufurahisha, itakusisimua, na kubwa zaidi itakufunza mengi sana hasa jinsi itakavyoisha, mtihani mzito atakaokutana nao Swedi Kipaga, utaamini duniani kuna mambo mengi sana. "Umeshasema ni mzembe, atakaa vipi na watoto?" "Sio mzembe sana ila anajielewa," "Sikuelewi mke wangu, atakaa muda gani?" "Mpaka majibu ya kujiunga na chuo yatakapotoka, maana maka wa tatu sasa yupo nyumbani baada ya kumaliza kidato cha sita," "Mh! Sawa," "Jamani mume wangu, ukimuona utampenda, ana wowowo!" "Unaanza kuleta utani wako!" "Kweli tena, atatuusaidia kazi ndogondogo humu ndani," "Sawa, ila mzembe mpaka kusaidia kazi, tutaona." Maongezi hayo yalikuwa kati ya Swedi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments