NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷 SEHEMU YA 31

NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷 SEHEMU YA 31

♥️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ Kila Mtu ndani Ya Ofisin Hiyo alibaki Kimyaa Sanaa Akimtazama Trisha Atoe Maamuzi yake Trisha alimtazama Aizack , Aizack alimtikisia Kichwa Kwamba Mi salama Kabisa Trisha alimeza Mate Kisa Akamtazama Mr Zingi KWA Muda Kidogo Kabla Hajanyanya Mdomo Kuruhusu maneno Kutoka "Kuna Kitu Alinambia Siku ya Mwisho Kuonana Pale Nyumbn kwake Mwenge" Kwa kauli Ya Trisha Kila Mtu alipata Matumaini Na Kuamsha Upya Hisia za Ushindi Katika Mioyo Yao "Alisema Nini " Walijikuta wameuliza Wote KWA Pamoja "Katika Choo Chake Kuna Ushahid Dhidi ya Watu wale Wote Sijui Ni Ushahid Gani Wala Watu Gani" "Oooh Trisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments