NIMEZAMA* 12💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

NIMEZAMA* 12💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

Nyanyuka haraka ondoka hapa mnuka mjasho wewe.........kwa uoga jmn nikasimama Fasta nikarudi nyuma😥......vile viatu vilinipa shida kutembea haraka nilitembea ile ya mtoto teteee teteee🙊...... bahati nzuri nilimuona Justine nyuma amekaa na pale alipokuwa kaka palikuwa na siti......... basi nikamfata ....alivoniona tu....... waao ni wewe mama? You look so sweet( umenoga Sana) njoo ukae hapa😋 japo nilikua na hasira.....Justine aliongea na kunipisha miguu yake nikapita nikakaa......hellow mama vipi unaendeleaje.....salama tu kaka Justine za nyumbani......nzuri sana......mbona hauna raha mama nini shida ..... justine aliniuliza....amna kaka niko sawa..... basi nilivo na michozi ilianza kumwagika 😭......jmn J akawa ndo ameamsha hisia zangu za kulia....nililia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments