
Msinichambe bwana kila mtu anastaili yake yakutaka kubebelezwa, basi nikambelezwa pale kisha nikalala kwa amanii. Kesho asubuhi niliamka mapema sana kisha nikaingia jikoni mtoto wakike nikapika vitu vitamu vitamu na kuweka kwenye vyombo safi kisha nikaweka mezani na kuingia chumbani nikamuamsha kipenzi changu na akaamka. Kisha akaingia bafuni na akapigwa mswaki nikatoa nguo zangu na kuingia bafuni Selim aliniangalia na kubaki kimya nilimsogelea na kufungua vifungo nikamtoa nguo moja baada ya nyingine kisha tukaoga na kwenda kupata chai. Tulikunywa chai kisha nikamwambia ninamaongezi alisema sawa na kukaaSiku za kurudi kazin zilifika akawa ananipeleka asubuhi jioni ananipitia tunarudi na kusaidizana kazi
0 Comments