NIPE YOTE DADY💞💞💞 SEHEMU YA 18~~20

NIPE YOTE DADY💞💞💞  SEHEMU YA 18~~20

NIPE YOTE DADY💞💞💞 SEHEMU YA 18~~20 Nilikula nikamaliza nikachukua simu yangu nikamtafuta Selim nikamwambia "ukiandika talaka tafadhali andika tatu ikiwezekana niongezee moja ya ziada " Muda huo Selim hakuwepo ndani nahisi alitoka wakati niko jikoni..baada ya kumtumia ujumbe nilielekea chumbani moja kwa moja nikaanza kupanga nguo zangu vizuri kisha nikaoga na kuvaa nguo nzuri nikajiremba na unyunyu kwa mbali alafu nikakaa tayari kusubiri talaka zangu😍😍. Mda ulienda hadi inafika saa mbili usiku Selim hajarudi mmhh hata ile sms pia hakuijibu duh sasa mbona kachelewa hivi😔😔 hebu acha niende nikachukue kinywaji pia nimuangalie mama mkwe wangu kichomi usikute kafa huko namimi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments