*TABIA ZA MKE WANGU ZILIVYONIFANYA NITEMBEE NA HOUSEGIRL*❤️ *SEHEMU YA 01----05*

*TABIA ZA MKE WANGU ZILIVYONIFANYA NITEMBEE NA HOUSEGIRL*❤️  *SEHEMU YA 01----05*

Kulikucha mapema asubuhi, kama kawaida ya nyumba nyingine ambapo mke humuandalia mumewe mambo ya nyumbani kama maji ya kuoga, chai na nguo za kuvaa pindi anapotaka kwenda kazini lakini siyo kwa mke wangu Joanitha ambae si kwamba alikuwa hajaamka, alishaamka mapema asubuhi lakini alikuwa bize na simu yake janja (smartphone) kubwa ambayo nilimnunulia mimi mwenyewe kwa pesa yangu, akibofya bofya tangu saa kumi na moja alfajiri mpaka sasa saa kumi na mbili na dakika kadhaa, nikajinyoosha nyoosha huku nikimtazama "Za asubuhi?" nilimsalimia "Safi" ndilo jawabu alilonipa, la mkato tu huku akiendelea kutazama simu yake aliyoigeuzia upande mwingine tena akitabasamu, nikasogeza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments