
Ray alitulia kimya akiwa anafikiria cha kujibu, maana alikuwa ameambiwa ukweli mtu, alimtazama binti kwa mshtuko mpaka binti akashtuka, bila kuelewa ameambiwa nini na mama. “mbona haujibu…nakuuliza umeenda wapi na huyo housegirl?” aliuliza. Ndipo akapata jibu “Mama mbona mimi sikuelewi?” alimuuliza “Hunielewi eenh?” “Ndio sikuelewi, mimi mbona niko huku himo?” alimuambia “Na Nasma yuko wapi?” aliuliza “Khaaa, mama unaniuliza kuhusu Nasma wakati nimewaacha wote hapo nyumbani eeh….halafu nilisikia akisema anataka atoroke aende kwao, usikute ndo kakutoroka nakuambia” alisema Ray “Pumbavu nyie subiri” mama alisema kwa hasira na kukata simu. Ray alibaki akimtazama binti, akamuachia mdomoni na kumuangalia “Mama amesema eti
0 Comments