SIMULIZI : NYOTA YANGU SEHEMU 07

SIMULIZI : NYOTA YANGU   SEHEMU 07

SEHEMU 07 ENDELEA....... Nilimsogelea kwa ukaribu na kukaa pembeni yake. Aliponiona nipo pembeni yake. Haraka alijifuta machozi na kujitengemeza vizuri usoni. Samir alitengeneza tabasamu bandia usoni mwake ila moyoni nilijua ana umia. Nilinyanyua mkono wangu na kumshika bega japo sikuwa na jiamini sana mbele yake kwasababu sikuwa nimemzoea kabisa. Baada ya kumshika bega Samir alinitazama huku akiwa anatabasamu. Nilimuangalia Kwa macho yenye utulivu huku nikiwa na tabasamu hafifu pia. "Nisamehe kwa kilichotokea, Samira,". Kabda hajamaliza kuongea nilimnyamazisha kwa kumuwekea mkono wangu mdomoni mwake. Alibaki ananiangalia tu na mimi niliendelea kutabasamu. "Usijali kabisa kuhusu Samira. Nakuahihishia lazima atabadilika na kuwa mtoto

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments