SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❤ EP12.

SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❤ EP12.

B alimpa mama ake majibu, mama mkwe alifurahi sio pw, alianza kunijali vibaya mno, kumbe na mashemeji zangu nao wajeda, yani kwao wako watatu, wote wajeda, siku moja kabla ya harusi, nilipelekwa salini nisukwe na kupunguza baadhi ya vitu ili kesho waje kunipaka tu mecup, kumbe Emma kaandaa majambazi waje kuniteka bwana, gali yetu alikuwa anaendesha shemeji yangu ikavamiwa,walipigika japo wao walikuwa wengi, niliata uoga shem akaniambia nisijal kabisa, akuna kitu kitatokea,niliwekewa ulinzi, mpaka siku ya harusi, ndoa ilipita lakini kwa vita... Kunajeda wakike alikuja siku ya ndoa kupinga ndoa isifungwe kwa madai anamimba ya B, walishughulikia ndoa ikapita ila

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments