Siri Ya Mvuvi Na Bahari Sehemu Ya 01

Siri Ya Mvuvi Na Bahari   Sehemu Ya 01

Mimi ni kijana niliyezaliwa mkoa wa pwani baba yangu alikwa akiitwa Samweli. Mkoa wa pwani ni mkoa uliopo katika fukwe ya bahari, nilizaliwa kwenye familia ya kawaida sana na ndipo nilipopewa jina la Saad, nilikuwa nikiishi na mama yangu ambaye anaitwa Isabella, wakati huo nilikuwa nikiishi na mama pekee bila uwepo wa baba, lakini mama yangu alikuwa akinisimulia kwamba baba alipotea katika mazingira ya kutatanisha, Mama alikuwa akiniambia kwamba baba alikuwa ni mvuvi mkubwa sana wa samaki na alikuwa ni mtaalamu wa kuendesha mashua, lakini pia wavuvi wengine pale pwani walikuwa wanamtegemea sana kwenye uvuvi sababu baba alikuwa ni mtu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments