VERY HANDSOME 🌸Lover boy💓💓05 Penina alitembea huku anapepesuka akaenda chumbani kulala.

VERY HANDSOME    🌸Lover boy💓💓05  Penina alitembea huku anapepesuka akaenda chumbani kulala.

Asubuhi hakuweza hata kwenda chuo nikaenda mimi na Aggy.. Nilivyomuona Gerson nilitabasamu nilienda hadi alipokaa nikamsalimia... Vipi umeamkaje? Salama sijui wewe alinijibu Niko poa kitabu nimesoma nimeelewa pia ni kizuri nimechukua bahadhi ya maswali nahisi nitaelewa.. Vizuri jitahidi hivyo hivyo halafu kingine usiwe unakaa back bhana njoo ukae huku mbele... Kabla sijajibu alikuja mdada mwingine huyu anaitwae Nice ni aina ya wale watu wenye mashauzi na matawi ya juu halafu baba yake alikuwa ni mtu tajiri mwenye pesa zake na ni maarufu sana...... Gerson sorry nimeingilia mazungumzo yako kuna maswali yananichanganya nataka unielekeza sijui utapata muda saa ngapi ? Hata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments