1 - - - - - - 5 MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI

1 - - - - - - 5 MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI

______________ SEHEMU YA 1 "Sasa hivi unataka kusema kuwa kazi umepata pale eti?" nilimuliza shoga yangu nikiwa amshangao kidogo😳. "Love, kwani huelewi au? Nimepata kazi ya kutengeneza juice bana, tena kwanza nawe ungekuja kujaribu bahati yako huenda utapata," Sada aliniambia. Jamani, naitwa Loveness, naishi na rafiki yangu ambaye tulitoka wote kijijini na kuja mjini kutafuta maisha... Sikuwa na ndugu huko kijijini maana niliambiwaga tu kama niliokotwa na mama yake Sada. Baada ya sote ku-fail shule, tuliamua kuja mjini... Mi nilijishughulisha na kazi ya kupika vitumbua, lakini Sada alikuwa kama anadharau hivi, hakutaka kufanya kazi hiyo. Alitafuta kazi na bahati nzuri

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments