
2.Shule ya msingi alisoma na kuhitimu mkoani Tabora mwaka 1968. Alijiunga na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) 3.Baada ya kumaliza elimu ya msingi alijitosa rasmi katika tasnia ya muziki 1968. Band za muziki alizopitia ni pamoja na Super Vea, JKT Kimulimuli, Sambuluma, Washirika na band ya Mass Media ambayo alianzisha yeye baadaye ilipotea kwenye muziki ila anao mpango wa kuirudisha ifa ye kazi afundishe vijana muziki 4. Ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtunzi wa vitabu, pia ni mahiri katika kupiga gitaa la solo. Alishakuwa jaji wa mashindano ya vipaji ikiwemo Tusker Project Fameal 6 nchini Kenya iliyokutanisha vipaji vya muziki
0 Comments