ROLENZO SEHEMU YA 26

ROLENZO   SEHEMU YA 26

Tulipoishia... Wakati wewe utakapokuwa bize na masomo mimi nitakuja kusimamia maswala yote kuhusu mtoto hospitalini.. Please Rolenzo naomba uniambie kuwa uko tayari ukikubali hata sasa hivi mimi nitakuja huko kushughulikia kila kitu mpaka pale wewe na kassy mtakapokuwa sawa.. Niliuwaza wema wa huyu kaka nyie hivi huyu ni binadamu kweli au malaika?? Mbona tangu siku ya kwanza ananitendea tu wema ni kwanini ananitendea yote haya?? Kapambania ishu ya mtoto wangu hospitalini mpaka kahonga tupate DNA feki ilimradi tu mwanangu apate msaada wa matibabu.. Sasa hivi tena anataka kunisaidia mimi kuzitimiza ndoto zangu... kila wema una malipo yake nitakuja kumlipa nini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments