𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 🫨😋 😋🔥33____34

𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 🫨😋 😋🔥33____34

SONGA NAYO nilinyanyuka katika kiti fasta nikamwita Maggie nikamwambia naenda hosp wanasema Hali ya brie ni mbaya akaniambia imekuaje tena nikamwambia sijui ngoja kwanza niende nikajue kinachoendelea akasema uniambie bas itakavyokua nikasema sawa nikatoka fasta nikaingia katk gari Moja Kwa Moja mpk hospital ilikua ni hosp anayofanya kaz Cliff ila Kwa wakat uo cliff alikua amepew ruhusa ni kama likizo ivi kutokana na matatizo yake nikafika hosp nikampigia cliff nikamwambia Niko nje apa cliff akaniambia nisubil nakuja kukuchukua nikasema poa kidogo cliff akaja akanishika mkono nikamuulz cliff shida nn akaniambia brie ana Hali mbaya em twende uku bas tukaenda mpk

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments