𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 🫨😋 😋🔥35 finally

𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 🫨😋 😋🔥35 finally

Skuiyo niliamka asubuh cjiskii vzr kabsaaa nikamwambia mama Leo naumw sana na kiuno mama akasema kikizidi naomb uniambie nikasema sawa mama angu nae alivyo Hana dogo akampigia cliff akawapigia kina bibi na shangaz mi mda uo naumwa na kiuno maumiv yamenizidia naugulia pekeangu chumbn kwangu nilikua sipigi kelele lkn ukiniona tu unajua uyu leo atoboi bas kidogo akaja baby Dady cliff akaniambia mama angu vp Nini shida nikamwambia naumw sana Leo baba angu najihis nakufa cliff akaniambia kwann ufe autakufa mpenz Wang nyanyuka twende hospital nikamwambia siwez ata kunyanyua mguu cliff akaniambia ok akanisimamisha mama akaja akanitaftia nguo nikavaa tukaenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments