RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU 16 to 17

RAFIKI YAKO MCHEPUKO WANGU 16 to 17

SEHEMU 16 Ilipoishia....... Wazazi wake alinitafuta waliniambia uvumilivu ukifika kikomo ondoka ukaendelee na maisha yako mengine tu kuliko kuendelea kuteseka. "Siwezi kukwambia tena umvumilie Samson maana ameshindwa kutusikia hata sisi wazazi wake. Mwanangu ukiona imetosha usione aibu kuondoka" hayo yalikuwa maneno ya Mkwe wangu. Niliapia sitaondoka mpaka nihakikisha hawa mbwa nawaliza kama nilivyolia mimi, nawatesa kihisia kama ealivyonitesa mimi. Nilikuwa na kisasi nao na nilipania kukilipa kabda sijaondoka kwenye ndoa............ Endelea......... Niliendelea kufanya maendeleo yangu kimya kimya. Nilifungua biashara kadhaa. Nilinunua kiwanja pia na tayari nilisimamisha msingi. Kipindi icho Sam alishahama Jumla kabisa kwangu. Ni miezi kadhaa hajatia mguu nyumbani.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments