
CUZO SEHEMU YA 44 Tukapitia kwanza duka la nguo nikachagua kigaun kizur na viatu tukatoka tukaenda saluni nikatengeneza nywl sikuwaga mpenz wa kupaka paka makeup kwaio ckupaka makeup bas tukaenda home ilikua sa 12 ivi tukakuta watu wengi pale brie alikuja na rafk Zake nikawaona na rafk zake baba bas nikaenda kuwasalimia mama akaniambia we mwali ingia ndan bana nikamwambia mi mwali jamn uko kukalibishwa nyumbn tu ndo nmekua mwali mama mnafanya shereh mmealika na watu kabisa mama akaniambia em njoo tukaingia ndan nikakutana na brayan akanikumbatia nikamulz umekuja lini akaniambia nmekuja Leo asubh baba alikuja kuniombea ruhusa nikamwambia ili
0 Comments