
Basi bwnaaa, kesho yake asubuh na mapem.mwanaume akanmbia yeye anaenda kazini ,kisha akitoka anakuja kunichukia nieke kila kitu changu sawa, tunaamia kwetu, nikamwmabia sawa, apoo mnajua na mm nishaanza kumueleawa sasa uyu baba ,asa nafanyake mwanaume anaonesha kunipenda sana, japo tey hana zile pilika pilika za mahaba ila ananipenda ,na mpaka.kanioa kaniweka na ndani asa mnazani inakuajeee, basi avish alivyoondoka, mie ndo nikaenda kumuaga mkwe wangu, na mama akanmbia wanajua kuwa tunahama mna avidh alishawaelewa ila watatumisss sana, nikasema mama sie tutakuwa tunakuja, wala usijari, basi mama ake na avish ni wla hana shida akatutakia kila kheri mama wa wtu
0 Comments