MIMI SIKUACHI🄰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*

MIMI SIKUACHI🄰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41*

Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na ukweli ndo upo hivyo sasa kaka. Apo sasa mimi simuhitaji ata mke wako. Ila mm nahitaji mwanangu .nahitaji damu yangu. Na naelewa unapitia nini kama uliambiwa yule mtotot ni wako. Ila ni mwanangu haji. Sikufichi kaka labda na ww unifanyie ikatiri .ila ni mtoto wangu. Daah nilijikaza tu .nikamwambia alex nimekupata . We nenda . Mi ntakupigia .usiongee chochote na mke wangu . Akanmbia sawa . Now kwanza mkeo kaniblock.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments