
Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia๐๐ nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani nachungulia kwa nje...... Boo alikuja akaketi kitandani kusema kweli alionekana kama mtu anayewaza namna ya kuanza kuniongelesha mimi..... niliona isiwe tabu hebu Acha mimi ndo nianza kumuongeresha niliweka sura ya hasira usoni kwangu then nilimfuata paschal aliyekuwa kaketi kitandani huku mikono yake akiwa ameshika tama nilikuwa siumii wala ila nilifanya maigizo ya hasira tu...... nilipaza sauti huku nikiwa naigiza kama vile nina hasira na kile kitendo alichokifanya...... ""๐ฃ️๐ฃ️umefurahi eh๐คท♀️๐คท♀️ nakuuliza
0 Comments