
Mama aksema nini iki nasikia . Ni nn unaongea haji. Nikasema mam mimi uyu mwanamke kanifanyia mambo mengi mazuri ila kwa hili hapna. Mda wote nalea mtoto kwa upendo na furaha.kumbe ananifanya mjinga sio mwanangu apo nalia kabisa. Dada akaja kanmbia plsss haji usilie hali yako haipo saw usilie basi kaka nyamaza aya yataisha tu. Niliumia sana. Nilisema mama mi uyu mwanamke simtaki tena . Simuhitaji tena. Ahaaa mke wangu akatambaa na magoti mpaka kwa mama akamwambia mama nisamehe na niombee msamaha kwa mume wangu . Mama nimewakosea nyote ila naomba sana mnisamehe. Mama akawa kabaki kimyaaa. Aseee akamnyanyua mke
0 Comments