REAL LOVE Chapter 14

REAL LOVE  Chapter 14

John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini "devi umefuata nini hapa alisema john "wewe ni nani hapa mpaka uniulize hivo alijibu devi kwa jeuri sana nakuuliza kwa mara ya mwisho umefuata nini hapa alisema john kwa hasira na dwvi nae hakutaka kukubari siku hiyo akanyanyuka na kusimama kisha akamwambia john ullzoea sana kunigusa gusa sasa leo nataka tena uniguse halafu nikuonyeshe mimi ni nani nimesema wewe hauna mamlaka yoyote ya kuniuliza kitu hapa haya unasemaje alisema hasira zikimtawala haraka mr sanju.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments