AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 62๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 62๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

""Nini hii๐Ÿคจ๐Ÿคจ?"" ""Aliniuliza paschal baada ya kumpatia zile barua"" ""Fungua usome๐Ÿ˜๐Ÿ˜"" ""Nilimjibu kwa kumnyali"" ""Pendo umewaza nini hadi kwenda kufungua madai ya talaka mahakamani๐Ÿคจ๐Ÿคจ"" ""Ulitaka niwaze nini Mr paschal ๐Ÿ˜๐Ÿ˜"" ""Kwa hiyo huyu mshenzi ndo ambaye amekushawishi kufanya hivyo?.... aliuliza paschal kwa hasira huku akiwa anamnyooshea hemed kidole๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ...... kanishawishi juu ya nini?! Uliyenishawishi ni wewe hapo na lia wako we si ulifikiri mimi siwezi kukuacha wewe natamani unionyeshe kiburi chako cha jana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ huyo mwanaume unayemuona hapo anaitwa hemed ni mme wangu mtarajiwa pia ni baba wa watoto wangu nice na shazil๐Ÿคช๐Ÿคช unaongea juu ya nini pendo kwa hiyo unamaanisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments