UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

SONGA NAYO.................. Haraka nilijilaza na kujifanya nimelala, aunt Vero ambae ndo alifungua mlango aliingia na kufika anasimama bila kuongea wala kufanya kitu akaniangaliaa karibu dakika tatu. Kinyonge akashusha pumzi na kuondoka , baada ya kuondoka nikainuka na kukaa kitako , mawazo na maswali vilikuwa vingi kichwani mwangu na hakuna jawabu nililopata . Mwisho nikajilaza na kuanza kuusaka usingizi, haikuchukua mda nikalala n kuja kuamka kesho yake alfajiri nikaingia jikoni na kuanza majukumu yangu ya siku. Mda ulienda ikafika saa mbili Alvin akaja jikoni na kufika anasimama pembeni yangu, mimi kimya akawa ananiangalia mwisho akasema . "Hatmae umeshinda mtihani wangu" alivyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments