MIMI SIKUACHI🄰 Sehemu ya 46 na 47

MIMI SIKUACHI🄰 Sehemu ya 46 na 47

Aseeeee nililudi mpka kwangu. Uko njiani ni fatuma tu ndo ambae ananipigia kweli kweli . Mi.wala sikuangaika nae na nilipoona usumbufu umezidi . Nikablock namba yake . Baada ya kufika kwangu usiku mama alinipigia simu . Akiniuliza juu ya maamuzi yangu. Nilimwambia mama mimi kuishi na uyo mwanamke najitesa tu . Na asa nikimuangalia mtoot naona moyo unauma sana so mimi kama mm nimeamua kuwa freee na maisha yangu. Na yeye awee free na maisha yake..kama atahitaji kuolewa na alex walee mtoto wao ni sawa . Kama atamnyima mtoto wake alex ni sawa. Yani ni yeye tu awe huru na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments