
ENDELEA.......... Catarina akiwa kwenye mshangao" Nyie vibaka mmepitia wapi" "Ushasema sisi ni vibaka, unapata wapi ujasiri wa kuuliza tumepitia wapi?..... hebu kilaze hapo tukichape siye tuondoke zetu" Kiongozi wa Wahuni aliongea Catarina alijikuta akicheka" Ni kilaze nini na mnataka mkichape nini?" "Hayo ni maswali gani,.....hebu vua tukichape....." Kibaka mwingine aliongea tena akiwa na hasira kupita kiasi Mwanzo Cat 🐈 baby alijua ni utani, lakini alipochaniwa nguo zake ndipo alijua hawa watu hawatanii, alifurukuta huku na kule lakini wapi. Vidume vinne vilimshikiria ilivyo. Ile mmoja wao anataka kuzamisha uume wake alishtukia tu akipigwa shoti George alikuwa kafika hapa kutoa msaada, vibaka
0 Comments