
ENDELEA........ "Sharti? ni sharti gani hilo" Catarina aliuliza "Pengine George hajawahi kukuambia lakini Mimi hapa na yeye tumewahi kuwa kwenye mahusiano. Na kuachana kwetu hakukuwa serious kivile. Sijui ni madawa gani ulimpatia mpaka amenisahau......hili jambo linaumiza sana moyo na...." Kabla Doris hajamaliza kujielezea Catarina alimkatisha "Hebu achana na simulizi yako ya mapenzi, kuwa wazi ni sharti gani hilo unataka kunipatia ili tu nionane mdogo wangu" "Achana na George, hata akufuate mara ngapi naomba umkatae. Endapo nitaona matokeo ni mazuri basi Mimi huyu nitakupatia mdogo wako" Doris alizungumza Catarina aliachia tabasamu" No, thank you..... siwezi kukubaliana na sharti lako. Katika maisha
0 Comments