BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 16

BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 16

SEHEMU YA KUMI NA SITA ENDELEA......... "Ndiyo ni Mimi, kwa kipindi chote tumekuwa tukipishana humu ndani lakini hukuwahi kunusa harufu yangu hata kidogo" Catarina alimchania Vivi blauzi yake, ni wazi kabisa kuna kitu alikuwa anataka kujionea, alimgeuza mgongoni. Kovu lililokuwa pembezoni mwa bega. Lilitosha kumuambia kuwa huyu ni Huruma wake. Kwa sasa mdogo wake bado ana hasira naye hivyo hata kama atajieleza maneno mengi kupita kiasi hakuna kitu kitabadilika. Aliamua kukaza moyo wake kisha akamshikiria mkono kwa nguvu" Vunga kama hakuna kitu chochote kinacho endelea kati yangu na wewe. Sitaki nizisikie hizi habari kwa George" Catarina aliondoka zake, Vivi hakuamini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments