BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 17

BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 17

ENDELEA....... "Mimi siyo Dada yako" Tulla alizungumza Vivi aliishia kumtazama tu "Doris ndio alinishawishi sikuwa na namna si unajua tena Mimi na yeye tumetoka mbali isingekuwa rahisi kwangu kukataa" "Kwahiyo wewe siyo Dada yangu?" "Ndiyo, Mimi siyo Dada yako kama ningekuwa najua Dada yako alipo wallah ningekupeleka maana tangu nimekutana na wewe mwili wangu umerudi sababu ya kula" Tulla alijiongelesha "Usijali, sitamueleza Doris kuhusu hili, endelea tu kuwa Dada yangu. Na hata hivyo nimesha vunjika moyo kuendelea kumtafuta....sina uhakika kama anajali kuhusu Mimi" Vivi aliongea kisha akasimama tayari kwa kuondoka "Unaenda wapi sasa?" "Nawahi nyumbani, leo utalipia bili ya supu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments