BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 18

BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 18

ENDELEA......... Catarina alimpigia simu Doris kutaka kujua yupo eneo gani. Basi Doris alitoa location, mapigo ya moyo wake yalikuwa juu sana. Hakuwa na uhakika kama milioni 500 italetwa au ni Polisi ndio wataletwa Baada ya dakika 10 kupita, mlango uligongwa. Doris alichungulia dirishani kwanza, alipohakikisha hakuna dalili za Polisi alifungua mlango. Catarina alimtazama Vivi namna alivyokuwa amefungwa kisha akaachia tabasamu "Unapata wapi nguvu ya kutabasamu ilihali mdogo wako yupo kwenye hati hati" Doris aliongea Catarina alimshika mkono kisha akawaangalia vibaka wake" Hebu mfungulieni Vivi nitawapatia wote milioni 20. Na kuanzia sasa nyie wote mtakuwa Walinzi katika Ofisi yangu" Vibaka wote

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments