
SEHEMU YA SITA ENDELEA...... "Ni wewe?" George aliuliza baada ya kumfikia "Kama siyo Mimi ni nani sasa? acha wenge bhana... nina njaa hatari. Yaani nina njaa hadi najionea huruma" Catarina alijielezea George aliachia tabasamu kisha akamshika mkono kwa pamoja walielekea kwenye gari. Safari yao ilienda moja kwa moja hadi kwenye hoteli ya Tarzan. Mazingira yalikuwa mazuri sana, kitu kilichomfanya Catarina ajione wa kipekee George alianza kuzungumza" Unajua mpaka sasa nashindwa kuelewa nyie Wanawake huwa mnataka nini...." Catarina akiwa kashika paja la kuku "una maanisha nini kuongelea Wanawake wote kwa wingi na si umoja..." "Nilikuwa na Mwanamke mmoja nilimpenda sana, nilienda
0 Comments