
ENDELEA........ Asubuhi kulivyo pambazuka, Doris na Vivi walikutana "Umewezaje kutoka?" Doris aliuliza Vivi alitabasamu"George ni mtu mzuri, hana tabia za kumchunga mtu. Si unajua vile maboss wa kike wanavyo kuwaga na roho nzuri ukilinganisha na maboss wa kike" "Yeah, ni kweli maboss wa kiume hawanaga mambo mengi. Tusipoteze muda kujuliana hali. Shika hii dawa umtilie huyo Mwanamke kwenye chakula" Vivi aliuliza akiwa na mashaka kidogo, kuua siyo mchezo "Ni kwa muda gani..." "Siku moja tu inatosha..... naomba ujitahidi sana" Doris aliongea akitaka kuondoka lakini Vivi alimsubirisha "Kwanini unataka kufanya hivi? kwanini wewe na Bilionea George mmewahi kuwa kwenye mahusiano? maana
0 Comments