
Habari za wakati huu mwana sns popote pale ambapo ulipo karibu kwenye makala 360 jina langu ni Frederick Bundala. Katika mitaa ya vumbi ya Nairobi ambako ndoto nyingi za vijana huzimwa kabla hata hazijapata nafasi ya kung'aa, aliwahi kuibuka kijana mmoja mwenye kipaji cha ajabu kiasi kwamba jina lake lilienea Afrika Mashariki kama moto wa nyika. Jina lake lilikuwa Issa Mari Wangu lakini dunia ilimfahamu kwa jina moja tu Isa. Alikuwa zaidi ya rapper, zaidi ya msanii, zaidi ya celebrity wa kawaida. Issa alikuwa sauti ya kizazi kizima. Alikuwa kijana aliyewafanya maelfu ya vijana wa Estates kuamini kuwa nao wanaweza
0 Comments