
SEHEMU YA 11 MAYA alimuagiza wakati anafanya hivyo akili ya LIAM ilihama alikumbuka matukio ya nyuma jinsi Lena alivyokuwa abamiahua kabla hajaenda kazini. Maya alimaliza lakini LIAM bado alikuwa mbali sana kimawazo. " LIAM ... Alipomuita LIAM alitoka kwenye dimbwi la mawazo na kumuangalia usoni. " Unawaza nini? LIAM alitingisha kichwa. " Haupo sawa unahofia hautakuwa safa utakapofika kwenye sherehe? " Hapana twende. LIAM alitangulia mbele hakuwa na mbwebwe zile za mwanzo za kutoka huku wakiwa wameshikana mikono. LIAM alipofika kwenye gari alimpanda kwenye gari upande wa dereva akawa anamsubiri Maya. Maya alijifungulia mlango akapanda. " LIAM inanipa hofu umebadilika
0 Comments