Golikipa wa Cape Verde mwenye umri wa miaka 40, Vozinha, alishindwa kuzuia hisia zake na kububujikwa na machozi

Golikipa wa Cape Verde mwenye umri wa miaka 40, Vozinha, alishindwa kuzuia hisia zake na kububujikwa na machozi

baada ya kupata sare dhidi ya Hispania. Vozinha amekuwa sehemu ya timu ya taifa ya Cape Verde 🇨🇻 kwa takribani miaka 15 sasa. Ameshuhudia kila kitu katika safari yake na timu hiyo; kuanzia vipindi vya kushindwa, vipigo vizito, hadi kufuzu mara kadhaa kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON/CAN. Na sasa amefika kwenye hatua ya kihistoria ya kucheza mchezo wa kwanza kabisa wa Kombe la Dunia kwa Cape Verde. Katika mechi hiyo ya kihistoria, alifanikiwa kupata clean sheets, alifanya saves 7 na kuibuka Man Of The Match. Baada ya mchezo kumalizika Vozinha alishindwa kujizuia na alitoa machozi yake hadharani. Huu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments