
Bila shaka hujambo mwana sns popote pale ulipo ni jumatatu ya tarehe 15 mwezi wa sita mwaka ni 2026 karibu sana kwenye GPS tumewamiss weekend kama ambavyo inafahamika tunapumzika kidogo kupata energy na leo kama kawaida ah nipo na wenzangu hapa DJ Sma pamoja na Ali Masubi Henry amepata udhuru kutokana na majukumu yake lakini kama ilivyo kawaida hakuna linaloharibika guys how was your weekend >> weekend njema kabisa tunamshukuru Mungu we are back again jumatatu kuianza tena GPS Yes. >> Mimi alhamdulah namshukuru Mungu. Ah wiki nimekuwa nzuri nimepumzika kidogo na nadhani nataka ile bana imepungua soon nitaanza tena
0 Comments