RADHIA ✨✨ 08~10

RADHIA ✨✨ 08~10

08 Mwandishi: Kitty Fefe Nilipofika nyumbani, nilikuta Odo tatu na Amina wakipigana kisa ni kile kile mtu aloseviwa 'HONEY' kwenye simu ya Amina,madai ya odo ilikuwa Amina amemuibia bwana😆😆😆basi nikakuta hapo nyumba nzima vurugu tupu.....mimi nilikuwa najionea shida aiseee nakosa hata utulivu nyumbani kwetu kuna muda natamani kujisomea ila mazingira ni mabaya kabisa, ukizingatia nipo kipindi cha kujiandaa na mitihani🥲🥲🥲🥲Siku chache baadaye, Hamid alinitafuta aliniambia kuwa anarudi kwa baba ake kwamba baada ya likizo yake ya kukaa kwa mama yake kumalizika, anahitaji kuondoka zake kwao. Hii ilinichoma moyoni, kwa kuwa nilikuwa naanza kumpenda nilifikiria kuwa atabaki karibu nami. Kuondoka kwake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments